Energy Saving Stoves

Energy Saving Stoves (pdf)
Majiko Sanifu, Traditional Irrigation and Environment Development Organization, Moshi Tanzania

Examples of Energy Savings Stoves:

Jiko la Kilakala
Hutengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi, majani, mchanga na mawe.

Kilakala Stove.
Made-up from clay soil, grass and sand

Jiko la Lushoto
Hutengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi, majani, mchanga na matofali ya kuchoma

Lushoto stove
Made-up from clay soils, grass, sand and burned bricks

Jiko la Kigae
Hutengenezwa kwa mawe, udongo wa mfinyanzi na kigae kilichotengenezwa kabla

Liner stove
Made-up from stones, clay soils and liner (ready made)

Jiko la Pumba
Jiko hili hupatikana likiwa tayari limetengenezwa na hutumia pumba za mpunga au pumba za mbao zilizokauka. Jiko hili hutengenezwa na CAMATEC pia na mafundi wa majiko mitaani.

Husks stove
Ready made from CAMATEC. Make use of husks from rice and saw-dust

Jiko la Joto
Hutengenezwa kwa mito myeusi iliyojazwa pumba za mbao au mpunga.

Heat preserving stove
Made-up from black pillow with husks or sawdust. Trail Running

AttachmentSize
PDF icon energy saving stoves.pdf81.22 KB